Ta Ha 20:56 ولقد اريناه اياتنا كلها فكذب وابى ٥٦
Ukurasa 315 · Juzuu 16
وَلَقَدۡ
أَرَيۡنَٰهُ
ءَايَٰتِنَا
كُلَّهَا
فَكَذَّبَ
وَأَبَىٰ
٥٦
Na hakika tulimwonyesha ishara zetu zote. Lakini alikadhibisha na akakataa.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa kweli, tulimuonyesha Fir'awn dalili zetu na hoja zetu zote zenye kujulisha uungu wetu na uweza wetu na ukweli wa ujumbe wa Mūsā, akazikanusha na akakataa kuikubali haki.
Na kwa kweli, tulimuonyesha Fir'awn dalili zetu na hoja zetu zote zenye kujulisha uungu wetu na uweza wetu na ukweli wa ujumbe wa Mūsā, akazikanusha n…